Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Nambari 66 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Mheshimiwa Shariff Ali Shariff kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Uteuzi huo unaanza tarehe 13 Februari,2024