Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipiga Mpira wakati alipotembelea Maendeleo ya Ukarabati wa Ujenzi wa uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar unaojengwa na Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki