• Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa katika kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja kwa ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Wafadhili.
  • Baadhi ya wafanyakazi katika Kituo cha Afya Makunduchi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa na Wafadhili kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Wananchi wa Shehia mbali mbali za wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa na Wafadhili kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa katika kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja kwa ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Wafadhili
  • Mwakilishi wa HIPZ Mkurugenzi wa Programu Ndg.Simon Kuhnert (kulia) alipokuwa akitoa salamu zake mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushto) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa katika kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud, Mke wa Rais wa Zanzibar Mmama Mariam Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji Lady Fatemah Charitable Trust Bw.Mukhtar Karim.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa Bw.Mwita Masemo Makungu (aliyeishika Ndizi) Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Makunduchi kwa niaba ya wananchi katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa katika kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja kwa ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Wafadhili(kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Kahmis Hafidh .
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Maabara Ndg.Abdulla Rashid Hemed wakati alipotembelea moja ya chumba cha uchunguzi wa matatizo mbali mbali katika Jengo la Huduma za Dharura na Maabara mara baada ya kulifingua rasmi leo Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo
  • Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Afya na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara Kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud, (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Mwaka Mrisho Abdalla,Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Hafidh wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara Kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua Kituo cha Afya Jengo la Huduma za Dharura na Maabara Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud,Mkurugenzi Mtendaji Lady Fatemah Charitable Trust Bw.Mukhtar Karim, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Kahmis Hafidh
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtekinolojia Maabara II Ndg Amos Asimbile Lwinga wakati alipotembelea moja ya chumba cha uchunguzi katika Jengo la Huduma za Dharura na Maabara mara baada ya kulifingua rasmi leo Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Mkuu wa Kituo Dr.Kurwa Bakari Mohamed.
  • Kituo cha Afya Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.