Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurughenzi Mkuu wa Shrika la Utangazaji Ndg.Ramadhani Bukini (kushoto) alipotembelea mabanda ya Maonesho katika hafla ya ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Unguja.