Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipokea heshima ya kupigiwa mizinga 21 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapindu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipokea heshima ya kupigiwa mizinga 21 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.