Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Mpapa wilaya ya kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Mpapa wilaya ya kati, Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kumalizika swala ya Ijumaa ambapo Mheshimiwa Rais aliswali katika Kijiji hicho.