Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika dhifa ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Su
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika dhifa ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa heshima ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe.Umaro Sissoco Embalo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni 2024.