Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Dkt. Kesete Admasu na ujumbe wake waliofika Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Dkt. Kesete Admasu na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 25 Juni 2024.