Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa ziara yake kutoa shukran kwa Viongozi wa Chama
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia
ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa
ziara yake kutowa shukrani zake kwa Viongozi hao, mkutano huo umefanyika
katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar.