RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Mjumbe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Mjumbe wa Bodi wa Benki hiyo Dr.Issack Allan (kulia kwa Rais) akimuwakilisha Mwenyeki Bodi ya Benki hiyo na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Juma Malik Akili, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kijitambulisha 13-1-2024