RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Wajenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Wajenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja wakati wa ziara yake ya kushtukiza, kutembelea ujenzi wa Mradi huo 4-3-2023