RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya uzinduzi wa Boti Tatu za kusafirish
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya uzinduzi wa Boti Tatu za kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat”, uzinduzi huo uliyofanyika leo 19-2-2025 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa