Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla wakati akiwasili viwanja vya Ikulu katika hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar pamoja na Timu ya Mlandege kwa kuchukua Kombe la Mapinduzi walipoishinda Timu ya Simba Sport 1-0 mchezo wa Fainal uliochezwa uwanja wa Amani Komplex