RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros(kulia kwa Rais) na Ujumbe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros(kulia kwa Rais) na Ujumbe wake na Viongozi wa Serikali baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023