RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda alipofika Ik
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar , zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar 12-1-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar