RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar, akizungumzia mafanikio ya ziara yake ya Kikazi Nchini Oman,(kulia kwa Rais)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzinar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.