Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA),alipofia Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo na kutoa maelezo kuhusiana na mkutano wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja.