RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Prof Dr.Ali Civelek wa Chuo Kikuu cha Istanbul Aydin Turkey, aliyemsomesha wakati akichukua mafunzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Prof Dr.Ali Civelek wa Chuo Kikuu cha Istanbul Aydin Turkey, aliyemsomesha wakati akichukua mafunzo ya udaktari Nchini Uturuki, baada ya ufungaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Unguja Jijini Zanziba