Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya mazungumzo yao alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar akimaliza muda wake wa kazi.