RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora kwa mwaka 2021/2022 wa “Master of Arts in Shariah and Islamic Jurisprudence” Nassor T
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora kwa mwaka 2021/2022 wa “Master of Arts in Shariah and Islamic Jurisprudence” Nassor Tajo, wakati wa hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023.