RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2024 Nahodha wa Timu ya Mlandege Abdallah Said Ali, baada kui
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2024 Nahodha wa Timu ya Mlandege Abdallah Said Ali, baada kuifunga Timu ya Simba bao 1-0, katika mchezo wa Fainali uliofanyaki katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar