RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Bi.Asha Ressa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Bi.Asha Ressa Izina, wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar .