RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Heshima na Rais wa Jumuiya ya Wajane Afrika Bi. Hope Nwakwesi, baada ya kuufungua Mkutano
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Heshima na Rais wa Jumuiya ya Wajane Afrika Bi. Hope Nwakwesi, baada ya kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Jumuiya ya Wajane Afrika “The African Widows Summit –Zanzibar 2024” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 20-6-2024