RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar,na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika leo 10-10-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.