RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizundua Ripoti ya Umoja wa Ulaya ya Uwekezaji Zanzibar na (kulia) Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizundua Ripoti ya Umoja wa Ulaya ya Uwekezaji Zanzibar na (kulia) Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika Mashariki Mhe. Christine Grau, uzinduzi huo uliyofanyika leo 27-2-2025, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja