RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kizimbani hadi Kiboje
02 Jan 2025
18
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kizimbani hadi Kiboje na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohammed (kushoto) ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 2-1-2025, katika eneo la Kizimbani.