RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Bachelor Degree of Science Biology and Chemistry” Aisha Said Ali, wakati wa hafl
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Bachelor Degree of Science Biology and Chemistry” Aisha Said Ali, wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, mahafali hayo yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja