RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika sehemu ilioandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya kuwe Jiwe la Msingi la ufunguzi Nyumb
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika sehemu ilioandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya kuwe Jiwe la Msingi la ufunguzi Nyumba 72 za Shirika la Nyumba Zanzibar,ziliizojengwa katika eneo la Mombasa kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.