RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe.Dkt.Saada M
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 17-2-2025 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar