RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Meneja Muendeshaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini mwa Afrika. Milena Stefanova (kulia kwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Meneja Muendeshaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini mwa Afrika. Milena Stefanova (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-2-2025