Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa kuhifadhi Qur-an wakati wa fainali za Mashindano ya 24 ya Kuhifadhi Quran Tuk
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa kuhifadhi Qur-an wakati wa fainali za Mashindano ya 24 ya Kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu Foundation katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 9 Machi, 2025.