RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu M
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed