Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea fulana la Timu ya Chelsea ya England kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea fulana la Timu ya Chelsea ya England kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel,wakati Ujumbe wa Timu hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana