Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki hafya ya kilele cha Maadhimisho ya wiki ya Sheria hafla iliofanyika Mahakama ya Mkoa wa Mjini Magharibi Mazizin
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki hafya ya kilele cha Maadhimisho ya wiki ya Sheria hafla iliofanyika Mahakama ya Mkoa wa Mjini Magharibi Mazizini, Wilaya ya Mjini , Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja