Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na rais mstaafu wa awamu ya tano Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa pamoja wakiondosha kipazia kuashiria uwekaji wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na rais mstaafu wa awamu ya tano Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa pamoja wakiondosha kipazia kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Jengo la Taaluma na Utawala la taasisi hiyo Buyu ,Wilaya ya Magharibi B ,Mkoa wa Mjini Magahribi.