Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (katikati) wakifuatana pamoja na Viongozi wengine wakielekea katika viwanja vya sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi