Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtekinolojia Maabara II Ndg Amos Asimbile Lwinga wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtekinolojia Maabara II Ndg Amos Asimbile Lwinga wakati alipotembelea moja ya chumba cha uchunguzi katika Jengo la Huduma za Dharura na Maabara mara baada ya kulifingua rasmi leo Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Mkuu wa Kituo Dr.Kurwa Bakari Mohamed.