Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali Wataalam alipowasili kufungua Kituo cha Atomu Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali Wataalam alipowasili kufungua Kituo cha Atomu Tanzania ,Zanzibar hafla iliyofanyika Kijiji cha Dunga Zuze Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.