Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali wa Kimataifa walihudhuria.