Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya maadili na haki za Binadamu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya maadili na haki za Binadamu sherehe
zilizofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.