Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hass
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Hussein Ali Mwinyi akishiriki kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Januari 2025