Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Jumatano 30 Oktoba, 2024 ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kimataifa wa Familia Doha nchini Qatar.Mkutano huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Jumatano 30 Oktoba, 2024 ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kimataifa wa Familia Doha nchini Qatar.Mkutano huo hufanyika kila baada ya miaka 10 na mkutano wa mwaka 2004 uliweka msisitizo kwenye umuhimu wa familia kwa ngazi zote na kuitambua familia kuwa ni uti wa mgongo wa jamii.