Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwaongoza wananchi Katika Matembezi ya Tamasha la Siku ya Mazoezi Kitaifa Kisiwani Pemba. Matembezi hayo ya Kilomita Tano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwaongoza wananchi Katika Matembezi ya Tamasha la Siku ya Mazoezi Kitaifa Kisiwani Pemba. Matembezi hayo ya Kilomita Tano yalioanzia Kinyasini hadi Uwanja wa Mnazi Mmoja Wete yaliambatana na Mazoezi ya Viungo .