Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika hafla ya kiapo kwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika hafla ya kiapo kwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni,ambapo hafla ya kiapo imefanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar