Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Waziri wa Nchi Ofisi Ofisi ya Rais Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa Haroun Ali S
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Waziri wa Nchi Ofisi Ofisi ya Rais Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman katika hafla ya maadhimisho ya Kilele cha wiki ya Ukaguzi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Zanzibar iliyofanyika
katika ukumbi wa Ziwani Polisi .