Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ahudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali (SADC Extraordinary Double Troika Summit).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali (SADC Extraordinary Double Troika Summit).kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mkutano huo ulifanyika tarehe 27 Mei 2021 jijini Maputo ulihudhiriwa pia na Rais wa Botswana, Malawi, Afrika ya Kusini, Zimbabwe na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi ambae ni mwenyeji na Mwenyekiti wa SADC.