RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi nyenzo za kufanyika Kazi Mwenyekiti mpy
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi nyenzo za kufanyika Kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya BMF Balozi Liberata Mulamula, baada ya kuizindua Bodi hiyo hiyo leo 14-12-2024 katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam