RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na kutowa shukrani kwa Familia ya Zakaria wakati wa ufunguzi wa Masikiti uliyojengwa na famil
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na kutowa shukrani kwa Familia ya Zakaria wakati wa ufunguzi wa Masikiti uliyojengwa na familia ya Zakaria na kupewa jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, ufunguzi huo uliyofaika leo 23-2-2025, baada ya kisomo cha hitma na dua kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja