RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhur
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, wakiwa katika kaburi la marehemu, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua, iliyofanyika leo 23-2-2025 katika viwanja vya Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja