RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar aliyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar aliyowaandaliwa Wananchi wa Mkoa huo,iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 12-3-2025